Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’ Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu. Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae. Related Posts: What's The Big Frigin' DIFFERENCE? Dancing With the Stars Threatens Dance Pros ... Don't Tango With the Competition Britney Spears Extending Run in Las Vegas Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii HapaWho Among Jokate Kidoti and Lulu Michael In These Pictures Lulu their New Year 2015!!! Tweet
0 Response to " Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa"
Post a Comment